ONLINE PROPHETIC SERVICE.
IBADA YA KINABII MAHALI ULIPO.
KILA SIKU YA ALHAMISI MUDA KUANZA SAA 2:00 USIKU HADI SAA 4:00 USIKU.
Kutokana Na Uhitaji Wa Watu wengi Kwenye Mtandao Wa HUDUMA YA MLANGO WA UKOMBOZI, Tumeanzisha Maombi Ya KUFUNGA Kila Siku Ya ALHAMISI Ya Kila Wiki.
Kila Mshirika Wa Huduma Hii atawajibika Kuzingatia Yafuatayo.
1.kufunga Masaa 12
2.kutuma Mahitaji Yake Siku Moja Kabla Ya Maombi Kwenye Group la Huduma.
3. Kuanza Maombi Ya Kuombea Mahitaji Kwa Watu wote MUDA Kuanzia Saa 2:00 USIKU Hadi Saa 4:00 USIKU.
4. Hakikisha Unaombea Mahitaji Ya Watu na Yako Pia Kwa Pamoja.
5. Maombi Haya Yataongozwa Na Nabii Kiongozi Wa Huduma Kwa Muda Husika
6. Hii itakua ni IBADA Kama Ibada Zingine Tunazozifanya Tofauti Yake Ni Ibada Itakayofanyika Kila Mtu Akiwa Nyumbani Kwake. Hivyo ni Ibada Itakayoambatana Na SADAKA Siku Ya Huduma
7. Kila Wiki Kabla Ya Maombi Litatumwa Neno La Kusimamia Kwa Ajili Yako Kuomba.
8. Ibada Hii Itawahusu Watu waliokwenye MTANDAO TU wanaotoka Mbali Na Eneo Letu la Huduma.
9. Hakikisha Muda Huo Uliopangwa Unakua Nyumbani Kwako Na Umeanza Maombi.
10. Nabii Ataongoza Ibada Hii Ya KINABII Kwa Masaa Hayo
MUHIMU.
KUHUSU DK 30 ZA KUPOKEA MUHUJIZA.
Kuanzia SAA 2:00 Hadi Saa 2:30 Hizi Zitakuwa ni DK 30 Za KUGUSA SIMU NA KUPOKEA MUHUJIZA WAKO. HIVYO Hakikisha UNAGUSA SIMU YAKO, Utaweka Simu Yako Kiganjani Kwenye SCREEN kisha Utulie Nabii Atakua Anakuombea Kwa Muda Huo.
Zingatia,. HII Ni IBADA YA AJABU SANA KWAKO WATAKAO AMINI WATAPOKEA KWA ISHARA, AJABU NA MIHUJIZA.
KAMA UMEPOKEA UJUMBE HUU SEMA AMEN.
Kisha Tuma Mahitaji Yako KAMA Unaona Kuna MAHITAJI Ya SIRI huwezi KUTUMA Kwa GROUP Nitumie Private Kwenye Inbox.
NENO LA KUSIMAMIA WIKI HII
YEREMIA 31:21-22
BWANA ATAFANYA JAMBO JIPYA KWAKO LEO
BARIKIWA
Na Nabii.E.M Thadeo
MLANGO WA UKOMBOZI MINISTRY.
Founder.
April 2016
No comments:
Post a Comment