KONGAMANO LA KITAIFA

Tunakusudia kuwa na kongamano la kitaifa la Maombi litakalohusu KUFUNGULIWA MINYORORO , HILI NI KONGAMANO linalohusisha watu  zaidi ya 1500 kutoka nje na ndani ya Nchi. 
      Ili uweze kushiriki kwenye Kongamano hili kwa wale wanaotoka mbali wanaweza kutuma michango yao kabla ya kongamano, kwa ajili ya gharama za malazi na chakula ambavyo vitagharimu tsh 50,000/- 
Kongamano hili litaanza tarehe 13.06-2016 hadi tarehe 19-06-2016.

Tumia namba zifuatazo, M PESA 0768484617, TIGO PESA 0713189320

No comments:

Post a Comment