RATIBA

         RATIBA ZA HUDUMA NJE YA MIKOA

Tunategemea kuwa kwenye mikoa ifuatayo kwa huduma: 

1.    DAR ES SALAAM Mwezi may tarehe mtajulishwa
2.       KILIMANJARO . JUNI 2016
3.       IRINGA . JULY 2016
4.       DODOMA . AGUST 2016
     
    KWA MIKOA MINGINE mtajulishwa kwa wakati ili kufanya maandalizi ya huduma.





       RATIBA ZA IBADA ZA KINABII:  
      Tuna aina kuu tatu za Ibada za Kinabii.


        IBADA YA UPONYAJI
 Ibada hii ufanyika kila siku za JUMANNE  kuanzia saa 8:00 hadi saa 12:00 Jioni.

          IBADA YA WAGENI MAALUMU (SPECIAL VISITORS)
Ni kila siku za IJUMAA ambapo ibada hii inawahusu wageni kutoka Nje ya Wilaya, Mikoa, na Nje ya Nchi Yetu ambayo inaanza saa 8:00 Mhana hadi saa 6:00 Usiku.
Kwa wahitaji wa Ibada hii Maalum ya KUFUNGULIWA, Wanatakiwa kufanya mawasiliano mapema kabla ya siku ya kuja kwenye huduma hili kupata maandalizi ya kulala na ratiba nyingine za huduma.

IBADA YA KINABII YA UKOMBOZI
Ni Ibada inayofanyika kila siku za JUMAMOSI kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 12:00 Jioni, Hii ni ibada inayoudhuriwa na mamia ya watu kutoka eneo letu na maeneo mengine.


No comments:

Post a Comment